Alfajiri - Voice Of America
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 24:59:32
- More information
Informações:
Synopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodes
-
Alfajiri - Mei 15, 2024
15/05/2024 Duration: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais Biden ametoa amri ya kuzuia kampuni ya madini ya Cryptocurrenvy inayoungwa mkono na China kumiliki ardhi huko Wyoming. - Mei 14, 2024
14/05/2024 Duration: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Misri yatangaza nia ya kuunga mkono kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel - Mei 13, 2024
13/05/2024 Duration: 30minMisri yatangaza nia ya kuunga mkono kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
-
Mazungumzo ya amani na maridhiano ya Sudan Kusini yaanza mjini Nairobi, kenya - Mei 10, 2024
10/05/2024 Duration: 30minVikao vya mazungumzo ya amani nchini Sudan Kusini vinatarajiwa kuanza Rasmi hii leo mjini Nairobi, nchini Kenya.
-
Alfajiri - Mei 09, 2024
09/05/2024 Duration: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Mafuriko nchini Burundi yasababisha uharibifu mkubwa wa mali - Mei 08, 2024
08/05/2024 Duration: 29minSerikali za nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zatoa tahadhari kwa raia, kufuatia mvua kuba zinazoendelea, zilizosababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.
-
White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria - Mei 07, 2024
07/05/2024 Duration: 30minWhite House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria
-
Idadi ya watu waliopoteza maisha DRC kufuatia shambulizi lililolenga kambi ya wakimbizi wa ndani yaongezeka. - Mei 06, 2024
06/05/2024 Duration: 30minIdadi ya watu waliopoteza maisha yao kufuatia mashambulizi yaliyolenga kambi ya wakimbizi nchini DRC yaongezeka.
-
Trump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi - Mei 03, 2024
03/05/2024 Duration: 30minTrump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi
-
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 181 nchini Kenya - Mei 02, 2024
02/05/2024 Duration: 30minMafuriko yasababisha vifo vya watu 181 nchini Kenya
-
Uingereza yatuma mtafuta hifadhi wake wa kwanza nchini Rwanda - Mei 01, 2024
01/05/2024 Duration: 29minUingereza yatuma mtafuta hifadhi wake wa kwanza nchini Rwanda .
-
Watu zaidi 70 wafariki Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo huku mafuriko yakiendelea kuzua taharuki - Aprili 30, 2024
30/04/2024 Duration: 30minWatu zaidi 70 wafariki Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo huku mafuriko yakiendelea kuzua taharuki
-
Alfajiri - Aprili 29, 2024
29/04/2024 Duration: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Serikali ya Kenya yaanza juhudi mahsusi zikijumuisha idara na mashairika kadhaa kukabiliana na athari za mvua kubwa zinazoendelea - Aprili 26, 2024
26/04/2024 Duration: 29minJeshi la Kenya Alhamisi lilifanya operesheni kuwaokoa wahanga wa mvua kubwa iliyosababisha vifo
-
Amnesty International yazisuta Zimbabwe, DRC na Ethiopia kwa rekodi mbaya ya haki za binadamu - Aprili 25, 2024
25/04/2024 Duration: 29minRipoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.
-
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania - Aprili 24, 2024
24/04/2024 Duration: 29minBenki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania
-
Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani - Aprili 23, 2024
23/04/2024 Duration: 29minHistoria iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.
-
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York - Aprili 22, 2024
22/04/2024 Duration: 30minHoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York
-
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani - Aprili 19, 2024
19/04/2024 Duration: 30minIsraeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani
-
Uhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar - Aprili 18, 2024
18/04/2024 Duration: 30minUhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar