Alfajiri - Voice Of America
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 24:59:27
- More information
Informações:
Synopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodes
-
Kikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21 - Aprili 10, 2024
10/04/2024 Duration: 29minKikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21
-
Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya ardhini Rafah yazua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo - Aprili 09, 2024
09/04/2024 Duration: 29minKauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya Rafah imeibua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo huku Marekani ikimkemea na kusema haiungi mkono msimo wake.
-
Maswali yaendelea kuulizwa miaka 30 baada ya mauaji ya kimbari kufanyika Rwanda - Aprili 08, 2024
08/04/2024 Duration: 29minBaadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.
-
Zimbabwe yaomba msaada wa dola bilioni 2 kukabiliana na uhaba wa chakula - Aprili 04, 2024
04/04/2024 Duration: 29min -
Rais mpya wa Senegal Faye amteua mshirika wake Ousmane Sonko kama waziri mkuu - Aprili 03, 2024
03/04/2024 Duration: 29min -
Wanajeshi wa Afrika Kusini waliopelekwa DRC walalamika kuwa hawana vifaa vya kutosha - Aprili 02, 2024
02/04/2024 Duration: 29min -
Makazi ya waziri mkuu wa Libya yashambuliwa kwa guruneti - Aprili 01, 2024
01/04/2024 Duration: 30min -
Jumuiya ya SADC 'yasikitishwa' na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRC - Machi 29, 2024
29/03/2024 Duration: 30minJumuiya ya SADC yasikitishwa na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRC
-
Mili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore - Machi 28, 2024
28/03/2024 Duration: 30minMili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore