Synopsis
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
Episodes
-
Ripoti ya mazingira ya UNEP kuhusu pengo la uzalishaji wa gesi chafu duniani 2024
31/10/2024 Duration: 10min -
Jamii Pwani ya Kenya wapinga mradi wa nyuklia kutokana na athari kwa mazingira
29/10/2024 Duration: 09min -
DRC:Jamii ya mbilikimo wakemea uharibifu wa misitu unaofanywa na makundi ya waasi
09/10/2024 Duration: 10min -
-
Siku ya kimataifa ya kufanya usafi wa mazingira na matumlizi ya teknolojia
23/09/2024 Duration: 10minKatika dunia ya sasa ambapo ukuaji wa teknolojia ni wa kasi ya juu, wabunifu katika jamii za pwani nchini Kenya, wamekumbatia matumizi ya teknolojia katika kupiga jeki juhudi za kupunguza taka kwenye mazingira wanayoishi.
-
Wahifadhi wahofia kudidimia kwa tembo aina ya "Super Tusker'
06/09/2024 Duration: 09minWanasayansi na wahifadhi wameibua hofu ya kutokomea kabisa kwa tembo aina ya "Super Tusker" ambaye pembe yake moja ina kilo takriban 45, ikiwa hatua hazitachukuliwa ili kuzuia uwindaji wao.Katika mbuga ya Amboseli inayopakana na Kenya na Tanzania, ndovu hawa wamebaki kumi pekee.
-
Mchango wa mashirika yasio ya kiserikali kuwezesha upatikanaji wa maji safi kwa jamii nchini Kenya
06/09/2024 Duration: 10minKatika maadhimisho ya wiki ya maji duniani 2024, makala haya yameangazia mradi wa WASH unaofanywa na shirika la SHOFCO mtaani Kibera, kusambaza maji safi ya matumizi kwa wakaazi wa kitongoji hicho chenye changamoto za upatikanaji wa maji safi.
-
Matumizi ya taka za chupa za plastiki kuendeleza kilimo bila mchanga(Hydroponic farming)
12/08/2024 Duration: 09minKundi la vijana la Vision Bearers la mtaani Mathare, jijini Nairobi linavyotumia taka za chupa za plastiki kuendeleza kilimo bila mchanga(Hydroponic farming)
-
Kenya: Namna mabaki ya ngozi ya samaki yanavyotumiwa kuhifadhi mazingira
05/08/2024 Duration: 09minKwa miaka mingi taka inayotoka kwa samaki na viumbe vingine kwenye ziwa, imekuwa ikichafua mazingira na kusababisha samaki wengi kukosa hewa ya oxigeni hivyo kufariki na kusababisha hasara kubwa.Hata hivyo wenyeji sasa wengi wao vijana wameanza kutumia taka hizo kutengeza bayogesi na bidhaa zingine kama vile viatu,nguo,begi mifuko na kadhalika hivyo kubuni ajira na kuinua uchumi. Katika fuo za Dunga kando na ziwa Victoria kaunti ya kisumu nchini Kenya,wafanyabiashara hapa wanatumia bayogesi kukaanga samaki na kuwauzia wateja wanaotalii êneo hili.Bayogesi hii inayotengenezwa kutokana na mabaki ya samaki ,imewafaidi wenyeji wa hapa kupunguza gharama ya matumizi vile vile kutunza mazingira. Caroline Achieng ni mfanyabiashara wa samaki.“Tunadumisha usafi kwa sababu wageni wanakuja hapa lazima tudumishe usafi ndio mazingira yetu yasiharibike,mradi huo umesaidia sana kwa sababu wametusaidia kuchukuwa hizi takataka za samaki kama matumbo,wanatengeneza nayo bayogasi hivyo kupunguza uchafu”alisema Caroline Achieng m
-
Uhifadhi wa mbegu za kitamaduni na sera zinazotishia mapato ya wakulima wadogo nchini Kenya
29/07/2024 Duration: 10min -
Uhifadhi wa mbegu za kitamaduni na kiasili na shirka la Seed Savers Network
22/07/2024 Duration: 10min -
Ugeuzaji wa taka za plastiki kuwa matofali maalum(Cabro) inayotumika kutengeneza barabara
17/06/2024 Duration: 10minJuma hili katika makala ya mazingira leo dunia yako kesho, mwandishi wetu wa Goma Benjamin kasemabe, ametuandalia ripoti ya namna mjasiriamali Irene maroy anavyogeuza taka za plastiki kuwa matofali maalum maarufu kama Cabro inayotumika kutengeneza barabara.
-
Uboreshaji wa ardhi, kuimarisha ustahimilivu kwa ukame, na kupambana na kuenea kwa majangwa
12/06/2024 Duration: 09min -
Mradi wa Sola katika kisiwa cha Ndeda, nchini Kenya, waleta mabadiliko kwa wakaazi
21/05/2024 Duration: 09min -
Katika makala haya utafahamu kuhusu vimbunga na athari zitokanazo na vimbunga
20/05/2024 Duration: 10min -
Majadiliano kuhusu mkataba wa kisheria wa kimataifa kudhiti uchafuzi wa taka za plastiki
14/05/2024 Duration: 10min -
Nchi za Afrika Mashariki zaendelea kushuhudia mvua kubwa zikihusishwa na El Nino
06/05/2024 Duration: 10min -
Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika
29/04/2024 Duration: 10minKulingana na jumuiya ya IGAD, zaidi ya vifo 190 vimeriotiwa katika eneo la pembe ya Afrika, huku watu wengine laki 7 wakiyahama makazi yao.
-
-
Ukulima wa minyoo wa ardhini(Earthworm) katika utengenezaji wa mbolea asili
16/04/2024 Duration: 10min