Habari Rfi-ki

  • Author: Vários
  • Narrator: Vários
  • Publisher: Podcast
  • Duration: 3:59:44
  • More information

Informações:

Synopsis

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Episodes

  • Tanzania : Rais Samia amuteua mwanawe kuwa naibu waziri

    20/11/2025 Duration: 09min

    Tunajadili   hatua ya viongozi kadhaa wa Afrika akiwemo rais wa Uganda, Yoweri Museveni, na rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wamewateua watu wa familia zao katika nafasi za serikali, hali hii ikionekana kwenda kinyume na maadili ya kazi. Tunakuuliza Je, uteuzi wa ndugu serikalini ni sahihi au si sahihi? skiza Makala haya

  • Kenya : Vyama vya kisiasa vina umuhimu kujenga demokrasia

    20/11/2025 Duration: 09min

    Katika makala haya  tunaangazia nchi ya Kenya ambapo chama cha ODM kilichokuwa cha waziri mkuu wa zamani hayati Raila Odinga, kimeadhimisha miaka 20 tangu kuasisiwa kwake. Tunauliza je vya  kisiasa vina mchango gani katika kuimarisha demokrasia hapa Afrika? Skiza makala haya.

  • Tanzania : Chakera kuwa mpatanishi

    19/11/2025 Duration: 09min

     Aliyekuwa rais wa Malawi , Lazarus Chakwera kuteuliwa na Jumuiya ya madola kuwa mpatanishi wa mzozo wa kisiasa nchini Tanzania, hasa baada machafuko ya kipindi cha uchaguzi. Tunakuuliza , unafikiri rais Chakwera atafanikiwa kusuluhisha mzozo wa kisiasa nchini Tanzania.

  • Ajali za barabarani zazidi kuwaua raia Africa

    17/11/2025 Duration: 09min

    Ulimwengu umeadhimisha siku ya kumbukumbu kwa waathiriwa wa ajali za barabarani. Takwimu za umoja wa mataifa zinaonyesha kuwa, duniani kote, watu zaidi ya milioni moja hufariki dunia kila mwaka kutokana na ajali za barabarani, na millioni hamsini kujeruhiwa. Nini kifanyike kupunguza ajali za barabarani. Skiza makala kufahamau maoni ya mskilizaji zetu.

page 2 from 2