Synopsis
Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.
Episodes
-
Somo 26 – Ninakualika
18/03/2009 Duration: 14minHerr Thürmann ana kazi ya kumpatia Andreas – mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyotenganishwa
-
Somo 25 – Kilichobaki nitalipa mimi
18/03/2009 Duration: 14minAndreas anatahayari... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi na kidhihirishi katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)
-
Somo 24 – Je, ungependa (kunywa) kahawa nyingine?
18/03/2009 Duration: 13minKualikana chakula kikazi: Frau Berger, Andreas na Ex... Muhtasari wa sarufi: Majina katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)
-
Somo 23 – Nani huyo anayezungumza?
18/03/2009 Duration: 15minAndreas anatafuta tena kisingizio... Muhtasari wa sarufi: Vitendo visivyo kawaida (irregular verbs)
-
Somo 22 – Ne mkewe je?
17/03/2009 Duration: 14minKatika ukumbi wa hoteli: Frau Müller na Frau Hoffmann... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki (possessive pronoun)
-
Somo 21 – Nilikuwa (mjini) Essen
17/03/2009 Duration: 12minHerr Meier anasimulia mambo yaliyomfika... Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita (imperfect) wa vitendo visaidizi sein/haben
-
Somo 20 – Je, unaumwa?
17/03/2009 Duration: 12minHerr Meier amerudi... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki (possesive pronoun) - hali ya wingi meine
-
Somo 19 – Ningependa kulala
17/03/2009 Duration: 12minHerr Meier ametoweka – zumari lake tu limebakia chumbani hotelini... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu mögen
-
Somo 18 – Hakuna vitu, hakuna mizigo
17/03/2009 Duration: 14minWasi wasi hotelini – Herr Meier ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Kitendo haben
-
Somo 17 – Vikombe vinne – bei ya jumla, Maki nne!
17/03/2009 Duration: 14minSanamu za mbilikimo wa bustanini na kijizimwi... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi binafsi, shamirisho la moja kwa moja (direct object)
-
Somo 16 – Hebu ujaribu!
17/03/2009 Duration: 14minKatika soko la vitu vikuu Ex anajiingiza kati tena Muhtasari wa sarufi: Hali ya kuamuru (imperative)
-
Somo 15 – Je, kanda (kaseti) unaziuza pia?
17/03/2009 Duration: 14minAndreas anajiandaa kwenda kuuza vitu vyake kwenye soko la vitu vikukuu (flea market)... Muhtasari wa sarufi: Majina: muundo wa wingi (plural)
-
Somo 14 – Mtakuja Aachen, ama sivyo?
17/03/2009 Duration: 15minAndreas anaandika barua nyumbani... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa Vitendo (V)
-
Somo 13 – Huu hapa tafadhali – ufunguo wangu!
17/03/2009 Duration: 15minKuja na kuondoka – Andreas akiwa kazini... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki mein, dein, n.k.
-
Somo 12 – Mwanafunzi au mpokezi?
17/03/2009 Duration: 14minEx hawezi kufunga mdomo wake... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vitendo (IV)
-
Somo 11 – Chumba kama hicho tena!
17/03/2009 Duration: 14minHanna, msichana anayesafisha vyumba na kero la wageni... Muhtasarui wa sarufi: Kidhihirishi -kikamilifu na kisicho kikamilifu
-
Somo 10 – Kuna chuma (hotelini) kitupu?
17/03/2009 Duration: 13minMgeni mpya anawasili... Muhtasari wa sarufi: Kuuliza swali kwa kiwakilishi cha kuuliza
-
Somo 09 – Hayo unayajua kabisa!
17/03/2009 Duration: 12minEx na Andreas wanashangazwa na Dr. Thürmann... Muhtasari wa sarufi Mwendesho wa kitendo (III)
-
Somo 08 – Unatokea wapi?
17/03/2009 Duration: 13minMarafiki wa zamani na ripota kijana mwanamke – wageni Hotel Europa... Muhtasari wa sarufi: Maswali yanayotumia woher na kihusishi aus
-
Somo 07 – Wewe ni mtu wa ajabu
17/03/2009 Duration: 12minEx anashangazwa na fikara za Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo (II)