Sbs Swahili - Sbs Swahili

Mama nitiliye wa Goodna afunguka kuhusu mgahawa wake

Informações:

Synopsis

Kwa muda mrefu wakaaji wa kitongoji cha Goodna, Queensland wame kuwa waki imba sifa za mgahawa wa Bi Esther kwa jina la Mama Nitiliye.