Sbs Swahili - Sbs Swahili

Tips to reduce petrol costs | Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa:Mbinu za kupunguza gharama ya petroli | Mafuta Yalengwa

Informações:

Synopsis

Rising fuel prices are putting pressure on household budgets across Australia, and for many people, it’s changing the way they travel. So what can you do to reduce your fuel costs without giving up your daily routine? Here are some simple, practical ways to save money on petrol. - Kuongezeka kwa bei za mafuta kunaweka shinikizo kwenye bajeti za familia kote nchini Australia, na kwa watu wengi, kunabadilisha jinsi wanavyosafiri. Kwa hivyo unaweza fanya nini kupunguza gharama zako za mafuta bila kuacha utaratibu wako wa kila siku? Hapa kuna njia rahisi na za vitendo za kuokoa pesa kwa petroli.