Sbs Swahili - Sbs Swahili

Makala leo:Siku ya Australia yaadhimishwa licha ya maoni mbalimbali

Informações:

Synopsis

Siku ya Australia imeadhimishwa kote nchini kwa sherehe za uraia na tuzo za Mwanaustralia wa Mwaka. Siku hiyo pia imeadhimishwa na watu wa Kabila la Aborijini na Visiwa vya Torres Strait ambao wamekusanyika kote nchini kwa matukio ya kila mwaka kuadhimisha Januari 26 - ikiwa ni pamoja na maandamano ya Siku ya Mvamizi.