Seth Wa East

Yahusu Corona, Umbali wa kijamii na Arubaini (40) kama namba ya Mungu

Informações:

Synopsis

Episode ya Leo kwenye Seth Wa East yahusu Corona Virus (COVID19), Umbali wa Kijamii na Ambavyo Mungu amekua akitumia namba 40 na Jinsi namba 40 ilivyoonekana tena kwenye tukio la mlipuko wa kirusi cha Corona. https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message