Mwinjilisti Machota

Ufafanuzi wa 1Timotheo 4:4

Informações:

Synopsis

Je 1Timotheo 4:4 inahalalisha ulaji wa kila kiumbe alichoumba Mungu? Sikiliza ufafanuzi huu wa kimaandiko toka kwa mwinjilisti Machota ili upate kuelewa hoja hii muhimu, Usiache kushare ili wengine wabarikiwe. pia na kama una swali lolote la linalohusu imani jisikie huru kuuliza kwa kunitumia sms inbox nami nitakujibu