Habari Rfi-ki
Marekani yapiga marufuku kwa raia kutoka mataifa kadhaa kuingia ardhi yake
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:10:01
- More information
Informações:
Synopsis
Makala hii imeangazia hatua ya hivi karibuni ya rais wa marekani Donald Trump ya kuongeza orodha mpya ya mataifa zaidi yakiwemo ya Afrika ikiwemo Tanzania, ambayo raia wake wanazuiwa kuingia Marekani, tumekuuliza Je? hatua hii ni ya kibaguzi ama inalenga kuulinda usalama wa Marekani? Na kwa mtazamo wako Hatua hii Ina maana gani? Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata maoni ya wasikilizaji