Habari Rfi-ki
Tume ya umoja wa mataifa nchini DRC, MONUSCO yaongezewa mwaka mmoja zaidi
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:10:00
- More information
Informações:
Synopsis
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa mwaka mmoja kwa ujumbe wa kulinda amani nchini DRC, wakati mapigano yakiongezeka mashariki mwa nchi hiyo kufuatia mashambulizi mapya ya waasi wa M23. Uamuzi huu unakuja wakati mjadala ukiendelea kuhusu ufanisi wa MONUSCO nchini humo. Je, unaamini hatua hii itasaidia au ujumbe huo umepoteza uaminifu na uwezo wa kuleta mabadiliko ya kweli? Je, umoja wa Mataifa unapaswa kufikiria upya mkakati wake wa kulinda amani nchini DRC?