Habari Rfi-ki

Maandalizi ya timu za mataifa ya Afrika mashariki na kati katika AFCON 2025

Informações:

Synopsis

Msikilizaji Mashindano makubwa zaidi ya soka barani Afrika, Kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanaingia katika siku yake ya tatu leo jumanne ambapo jumla ya timu 24 za mataifa ya Afrika zikiwania taji hilo. Leo DRC wanamenyana na Benin, Tanzania wanakutana na Nigeria. Unazungumziaje maandalizi ya nchi za Afrika Mashariki na kati ?Nini matarajio yako kwenye mashindano haya ?