Habari Rfi-ki
Leo ni siku ya kuadhimisha haki za binadamu duniani lakini ukiukaji waripotiwa
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:09:58
- More information
Informações:
Synopsis
Leo ni siku ya kimataifa ya haki za binadamu, hata hivyo dunia inaadhimisha siku hii huku vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu vikiendelea kuongezeka kwenye maeneo mbalimbali duniani, maeneo yenye mizozo vitendo hivi vikiwa vya kuogopesha.Tumekuuliza unafikiri kwanini vitendo hivi vinaongezeka licha ya sheria za kimataifa kuwepo?Hali ya haki za binadamu ikoje nchini mwako na Nini kifanyike kuimarisha haki za binadamu ulimwenguni?