Habari Rfi-ki
Waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda waudhibiti mji wa Uvira nchini DRC
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:09:59
- More information
Informações:
Synopsis
Waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda, ni rasmi sasa wanaudhibiti mji wa kimkakati wa Uvira jimboni Kivu Kusini, hatua inayokuja licha ya wiki iliyopita DRC na Rwanda kutia saini mkataba wa amani.Tunamuuliza msikilizaji anazungumziaje kilichofanywa na waasi wa M23,,Nini kifanyike? na Je, msikilizaji yuko Uvira au amekimbia kutoka Uvira