Habari Rfi-ki

Maoni ya Wasikilizaji kuhusu habari zetu juma hili ikiwemo hali mashariki mwa DRC

Informações:

Synopsis

Ilivyo desturi ya kila siku ya Ijumaa, ni mada huru. Tunampa msikilizaji wetu nafasi ya kuzungumzia taarifa ambazo tumeziangazia katika habari zetu juma hili, lakini pia matukio mbalimbali nchini mwake.